DR CONGO: Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi na risasi kuwatawanya waandamanaji wanaoupinga utawala wa Rais Joseph Kabila
-
Mapema leo Wafuasi wa Rais Kabila walilizunguka Kanisa Kuu katoliki(Kinshasa) ili kuzuia ibada ambayo ingefuatiwa na mkutano mkubwa wa kumshinikiza Kabila aachie madaraka
-
Rais Kabila huyo amekuwa kwenye mgogoro na Kanisa hilo baada ya kushindwa kuheshimu Katiba iliyomtaka aondoke madarakani kataba wa kuondoka madarakani Disemba mwaka 2016
-
Kabila alitakiwa kuitisha Uchaguzi lakini alishindwa kwa madai kuwa nchi kukosa fedha
-
Hapo ndipo kanisa lilipo geuka msuluhishi ili kunusuru taifa lisipasuke kutokana na mvutano kati ya Rais na wapinzani wake
Post a Comment