Hukumu ya Kesi ya Kumkashifu Rais Inayomkabili Mbunge Sugu Kutangazwa Leo...
Mahakama ya Hakimu Makazi Mbeya leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kumkashifu Rais Dkt Magufuli inayowakabili Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Nyanda ya Juu Kusini, Emmanuel Masonga.
Post a Comment