0

Kutoka Maybach Music, Rapa maarufu wa Marekani 'Rick Ross' amefuta picha zote za Diamond Platnumz alizowahi kupost katika ukurasa wake Instagram .
.

Rapper huyo ambaye pia ameshirikishwa katika wimbo wa Platnumz 'waka' aliwahi kumpost Staa huyo wa Bongo katika ukurasa wake wa Instagram mara kadhaa akiwa amebeba chupa za kinywaji cha Belaire ikiwa ni ishara ya kukinadi kinywaji hicho. .
.
.

@Diamondplatnumz ni balozi wa kinywaji cha Belaire na yeye alikuwa Staa wa pili kutoka Afrika kupostiwa na @Richforever baada ya mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe pia kupata bahati hiyo ya kupostiwa na Staa huyu wa Hollywood na mpaka muda huu picha @Huddahthebosschick haijafutwa

Post a Comment

 
Top