0
Aliyekuwa Shabiki wa Wema Sepetu namba moja huko instagram na kiongozi wa Team Wema Amemwaga mchele kwenye kuku wengi baada ya kufunguka kuhusika kwa Lulu Michael kwenye ugomvi wa Wema Sepetu na Idriss mpaka kufikia kupigana kibuti...

Soma Alichoandika Instagram

"wemareplies @Regrann from @matikibokoyao - @idrissultan toka hizi mambo zote zimetokea umeona natia neno kwanza ni hivi sina team ila I still love @wemasepetu no matter what ila jua wewe ndio umempa @wemasepetu stress ndio hata hizo pic unazosema sijui insta mcongo nothing is going on baba ww sema unachokifanya sio vzr mmekoseana why msimalize mambo yenu huko private @wemasepetu na ww usijibu kitu maana saivi zigo limesha kuangukia mbaya ww kama usemavyo damu Ya kunguni kama mati hapa ila ulichokosea kupiga pic na mcongo hata kama ulikuwa unamrusha roho iddy umekosea tayari umesha onekana mbaya lakini behind ukweli ni kwamba ilikuwa hasira na stress la fumanizi kati Ya @elizabethmichaelofficial na @idrissultan tena fumanizi la asubuhi asubuhi mtu anatoka chumbani na kataulo ila daaah inauma sanaa kikubwa iddy maizeni mambo zenu huko private acheni utoto sema lulu nae kibokokabisaaaaa nyakunyaku  nichambeni lakini habari ndio hiyo " Matikibokoyao

Post a Comment

 
Top