0
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwa na Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu.

Lulu aliandika: 
‘Huyo ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama sana b4 IG kwahyo Kama mnatafutaga mtu kugombana au kugombanisha watu na kila mtu MLIPO BONYEZA SASAHIVI NI RED BUTTON nyie mnafanya drama za mitandao watu tumefanya za LIVE tumechoka na tumeamua kujituliza…Tuheshimiane jamani…..‘

Post a Comment

 
Top