Siku moja baada ya CCM kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amesema kuna haja ya kufanya mabadiliko ndani ya chama hicho hasa muundo wa halmashauri kuu ya taifa. Amtaka Jakaya kikwete afanye mabadiliko kabla ya kumpa kijiti Rais Magufuli.
Post a Comment