Baada ya msanii Nay wa Mitego Kumchana Niva Kwenye ‘Shika Adabu Yako’ kupitia mtandao wa instagram Niva amefunguka haya;
Alianza kuwa kuandika haya;
“Jioni ya Leo ndio watu watajua. Kama natafuta Kiki kwako au wewe @naytrueboy umeamua kuipata Kiki kwangu coz ney watu wameanza kukujua 2013… mimi watu wameanza kunijua tangia elfu mbili na sita kupitia tamthili ya jumba la dhahabu kipindi hiko wewe upo manzese unatafuta kutoka.. mwenzio nikitajaga tamthili ya jumba la dhahabu uwa nawaumizaga watu wengi Sana coz uwa nawakumbusha kumbukumbu za maisha Yao ya kipindi icho wengine wenzao wamesha wazika walio kua wakiangalia nao. Sasa wewe @naytrueboy unakipi cha kuwakumbusha mashabiki zako.”
Kisha akaweka picha akweka picha hiyo hapo juu akiwa na Nay na kuandika;
“Sasa mkitazama iyo picha mtangundua ni wiki ngapi zimepita na hapo mulizeni alikua wapi na kwanani na alifata nini Tena alikua anajipima mwili wake na wangu… niliwai kusema kuwa ni mdogo wangu kwaiyo kwangu yameisha nanimemsamee coz ni mdogo wangu ila kuusu kumuigiza na yeye kupo pale pale nimesha maliza kutoka moyoni”
Related Posts
- Rais Dk. Shein asisitiza wafanyakazi wa umma kufanya kazi katika mazingira mazuri
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa miongoni[...]
May 02, 2019 - Ibada za Kanisa Katoliki Zafutwa kwa Wiki Mbili
Ibada za Kanisa Katoliki zimefutwa kwa wiki ya pili katika mji mkuu wa Sri Lanka, Colombo, serikali[...]
May 02, 2019 - Wasanii Afrika Mashariki Waomboleza Msiba wa Mengi
Kundi la wasanii wa muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol, limeungana na Afrika nzima kuombeleza msi[...]
May 02, 2019 - Jeshi la Polisi Lafunguka Kuhusu Kutangaza Nafasi za Ajira
Jeshi la Polisi limesema kuwa halijatangaza nafasi za ajira katika chombo chochote cha habar[...]
May 02, 2019 - Freeman Mbowe amlilia Dkt.Reginald Mengi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametuma salamu pole kufuat[...]
May 02, 2019 - Kikosi cha Yanga SC kitakachocheza na Tanzania Prisons leo
Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuendelea tena leo ambapo Yanga SC watacheza dhidi ya Tanzania Pr[...]
May 02, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.