0
Rapa mwenye staili ya tofauti kabisa ya kuflow na uandishi,huku mara kadhaa akiflow kama ana meno 40 au mara nyingine akiflow kama anapiga mswaki rapa kutoka Manzese ameibuka na kudai mara zote yeye uandika vitu baada ya kufanya uchunguzi wa hali ya juu. Katika interview tulioyofanya naye alisema vitu alivysema katika wimbo wake vyote ni vya ukweli na ni muda pekee ndo utakaosema.

Ameadai baada ya Wema kuja na drama mpya na jamaa yake , sasa ni zamu ya mtu mwenye dimpoz nyingi duniani kuprove kama kweli jogoo lake linawika au ndo linakula tu mahindi na mchele .
Pia alisema anaandaa ngoma nyingine ambayo muda huu atakuwa anawachana wabunge na mawaziri pekee ambako mpaka jana jioni alikuwa amemaliza kuandika verse ya Nape.

Post a Comment

 
Top