Bgaa6uhIgAA4Drv1
Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Colonel alizungumzia uhusiano wake na Huddah Monroe.
“Nilikuwa na mahusiano na Huddah, tuli sex hata mara 50. Huddah she’s fine kitandani, Nafikiri amepelekwa unyagoni kidogo” Alisema Mustafa.
Hata hivyo, mrembo Huddah aliwai kukanusha kutoka kimapenzi na Colonel huku akidai msanii huyo alikuwa anatafuta kiki kupitia jina lake.
Katika hatua nyingine Mustafa alisema anamkubali Diamond , AY, pamoja na Navy Kenzo na anawish siku moja angefanya kolabo na mmoja kati ya hao.
Post a Comment