Jamani nimechokaaaaaaaaaaa kuulizwa kuhusu Wema na hili njemba, sijui terrorist atajijua mwenyewe...
I don't know anything.And I don't want to know.... All I can do is pray kuwa sio Kweli maana hapa Wema ndo atakuwa kapoteaaaaaaaa.Janaume mishow off tu, upuuzi mtupu! Yani jinga flani... .
Team Wema mmepanick Mpaka , listen hamuwezi kumpangia Mtu Maisha yake Ana akili zake Yule!!!!!! Mnaosema Wema hawezi kutulia sijui Malaya , Hana umalaya wowote anaweza kutulia vizuri. Kila mwanamke Ana Mtu wake wa kumtuliza. Nyie wenyewe mlihangaika Na boyfriend wangapi kabla hamjatulia Kwa waume zenu?
Hivi mmesahau enzi za CK, Wema Mbona Alitulia Kama maji ya mtungini, she was private miaka watu hawajui yuko Na Nani , media ilibidi ichokonoe Kweli Kweli ku found out..Yani love life yake ilikuwa private.Watu tulikuwa tu nashangaaa anakula bata hatuelewi. That's how it should be. That means Wema anaweza sana kutulia Na Mpaka tukamsahau... Enzi za CK alikua business woman Hana drama wala nini ni yeye Na kampuni yake...... Alivyo rudi tu Kudate vijana wenzie , wasaniiiii wenzie balaaa likarudi pale pale... .seriously nyie Kumbukeni tofauti ya Wema enzi za CK na alivyo rudi Kwa Watoto wenzie. The difference is huge!
Idris is a great guy I like him but he is too young kumtuliza Wema. I wish them the best though . Mwanaume wa kumfanya Wema atulie will be a millionaire, mkubwa na Mtu very down low dizain za Yule CK , Ila hawa watoto wenzie wa kumpa laki kwa mwenzi watakimbizana kila siku.. Ukweli ndo huo. Hamuoni kina Kyln walivyobadilika 360 degrees? Ukiwa Na Mtu mwenye heshma zake na mihela yake you become another person! Ila kumwita Malaya sijui nini wala sio, sababu woooote tunajua anajua kutulia vizuriiiii Mpaka tukamsahau yuko mjini! Sometimes tuweni wakweli tu Jamani mwanaume ukiwa Na hela utamtuliza hata Malaya wa Jollies, atavaa hata baibui. Bila hela mwanaume utasumbuliwa tu.
Hili Dudu baya la Congo hamna kitu hapo! Wastage of time ! Hana pesa yoyote! Na hata Kama ana pesa sio mwanaume wa kutulia nae.Mashauzi ya kitoto tu! Janaume halina Siri kuposti mipicha na caption za kitoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment